Back to Videos

"Abductions Can't Happen Without State House Knowing!" Ex-IPOA Boss Macharia Njeru 😳 | Iko Nini 810

Politics
Nov 17, 2026 Jacob Aluvanze

In a video from Iko Nini Podcast, Wanataka kutumia polisi wawe ni kama vibaraka vyao wanataka iwe kama ni private milia m watatumie kudhulumu wale opponents wao. Naweza kusema hata naweza challenge hii watu abductions haziwezi kufanyika bila. Huko. So hata sisi tulipata shamba huko na tukaanza kujenga na tukawasett huko lakini mama yangu akawa anaendelea na biashara wapi? Eh kule Kapsab. Mh. Sasa shida ni kwamba 1992 eh vita za kikabila zikaanza.

Unajua akiwa na uhuru wa kufanya kazi ni kumaanisha wewe mwenyewe hata ukiwa uko na nguvu ya kiserikali ukivunja sheria atakuchukulia hatua. Sasa hawa hawataki hivataki hawataki hivo. Unajua kitu moja ambao. Wauliwe wainuliwe na benki vile vile ziko saa hii hata wewe mwenyewe saa hii ukijaribu useme ya kwamba unataka mkopo haraka haraka kupata ni ngumu sana m maanake vile benki vile zimekuwa.

Yes uangalie experience yao uangalie ujuzi wao uangalie sera zao ni very l maanake mara mingi unajua hio swali umeuliza by the way si umeniuliza wewe si wewe pekee yako na watu wengi huniuliza hivo. Mikopo ya kwa njia ya urais. Lazima benki serikali mimi kwa upande wangu nikiwa serikali yetu ya mongozo mpya na nikiwa rais wa sita jambo moja ambalo latakisha tufanye ni kwamba na.

Kusuluhisha nini hizo kazi mimi sina haja na kitu ingine ya urais tu pekee yake kwa hivyo mtu akiniambia tukupatie sijui huwe waziri wa nini hiyo mimi sina haja unajua viti nimekalia ile kiti ambayo. Near you. Yes. Mashari ya njeru. Yes. Tukimalizia tukisema eko nene. iko.

Video: Iko Nini Podcast. https://www.youtube.com/watch?v=G77uzVI6cnE

Kenya election video for 2027 about Politics.